Jesse Lingard akishangilia kishujaa baada ya kuifungia Manchester United mabao ya kusawazisha dakika za 53 na 90 na ushei ikitoka nyuma kwa 2-0 na kupata sare ya 2-2 dhidi ya Burnley katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford. Burnley ilitangulia kwa mabao ya Ashley Barnes dakika ya tatu na Steven Defour dakika ya 36 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ronnie O'Sullivan beaten by Ding Junhui at UK Championship
-
Ronnie O'Sullivan's quest for a record-extending eighth UK Championship
comes thrilling end in a 6-4 last-16 defeat against Ding Junhui.
15 minutes ago
0 comments:
Post a Comment