Alexis Sanchez (kushoto) akishangilia na Laurent Koscielny baada ya kuifungia Arsenal mabao mawili dakika za 62 na 66 na kuiwezesha kushinda 3-2 dhidi ya wenyeji, Crystal Palace usiku wa jana Uwanja wa Selhurst Park mjini London. Bao lingine la Arsenal lilifungwa na Shkodran Mustafi dakika ya 25 wakati ya Palace yalifungwa na Andros Townsend dakika ya 49 na James Tomkins dakika ya 89 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Cat steals the spotlight during music exam with surprise stage entrance
-
A university music exam took an unexpected turn in eastern China when a
curious cat wandered onto the stage mid-performance. The moment unfolded on
January...
57 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment