• HABARI MPYA

  Tuesday, December 19, 2017

  SAID MOHAMMED 'NDUDA' ALIYOANZA MAZOEZI YA GYM TARATIBU


  Kipa wa Simba SC, Said Mohammed 'Nduda' aliyekuwa majeruhi tangu Agosti, mwishoni mwa wiki ameanza mazoezi ya gym taratibu katika jitihada za kurejea uwanjani Januari mwakani, kufuatia matibabu aliyopatiwa nchini India  
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SAID MOHAMMED 'NDUDA' ALIYOANZA MAZOEZI YA GYM TARATIBU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top