• HABARI MPYA

  Monday, December 18, 2017

  MAPOKEZI YA ZANZIBAR HEROES LEO WAKITOKEA KENYA CHALLENGE

  Msafara wa wananchi wa Zanzibar katika maandamano ya mapokezi ya kikosi cha timu ya taifa ya nchi hiyo kutoka nchini Kenya ambako walishiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge na kumaliza nafasi ya pili baada ya kufungwa na wenyeji, Harambee Stars kwenye fainali jana kwa penalti 3-2 kufuatia sare ya 2-2 ndani ya dakika 120
  Wachezaji wa Zanzibar Heroes baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Zanzibar

  Wachezaji wa Zanzibar Heroes wakiwa juu ya gari wakati wa mapokezi yao
  Msafara wa mashabiki wa soka visiwani Zanzibar kwa furaha kubwa leo
  Mashabiki hawa wakiwa wamelundikana kwenye gari wakati wa mapokezi hayo  
  Ilikuwa ni shamrashamra za kila aina na namna wakati wa mapokezi hayo
  Sehemu ya akina mama wakiwa wametulia wakati sherehe za mapokezi
  Wasanii wakitoa burudani wakati wa shamrashamra za mapokezi hayo
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAPOKEZI YA ZANZIBAR HEROES LEO WAKITOKEA KENYA CHALLENGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top