• HABARI MPYA

  Tuesday, December 19, 2017

  EVERTON YAENDELEA KUFANYA VYEMA ENGLAND, YASHINDA 3-1

  Wachezaji wa Everton wakimpongeza Gylfi Sigurdsson baada ya kufunga bao la pili dakika ya 64 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Swansea City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Goodison Park mjini Liverpool. Mabao mengine ya Everton yalifungwa na Dominic Calvert-Lewin dakika ya 45 na ushei na Wayne Rooney kwa penalti dakika ya 73, wakati la Swansea lilifungwa na Leroy Fer dakika ya 35 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: EVERTON YAENDELEA KUFANYA VYEMA ENGLAND, YASHINDA 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top