• HABARI MPYA

    Sunday, October 01, 2017

    YANGA NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA UHURU

    Winga wa Yanga, Geoffrey Mwashiuya akipiga mpira dhidi ya mchezaji wa Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam timu hizo zikitoka sare ya 0-0 
    Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akipambana katikati ya wachezaji wa Mtibwa Sugar
    Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa akimpita mchezaji wa Mtibwa Sugar jana
    Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Stahmili Mbonde (kulia) akiuficha mpira dhidi ya beki wa Yanga, Kevin Yondan
    Kikosi cha Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa jana Uwanja wa Uhuru
    Kikosi cha Yanga kwenye mchezo wa jana Uwanja wa Uhuru
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top