• HABARI MPYA

    Sunday, October 01, 2017

    AZAM FC SINGIDA UNITED KATIKA PICHA JANA DODOMA

    Chipukizi wa Azam FC, Peter Paul akimruka mchezaji wa Singida United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma timu hizo zikitoka sare ya 1-1.
    Peter Paul (kulia) wa Azam FC akitafuta maarifa ya kumpita mchezaji wa Singida United
    Mshambuliaji wa Azam FC, Mghana Yahya Mohammed akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Singida United
    Beki wa Azam FC, Mzimbabwe, Bruce Kangwa akimpita kiungo wa Singida United, Deus Kaseke 
    Mshambuliaji wa Azam FC, Mbaraka Yussuf akipambana katikati ya wachezaji wa Singida
    Kikosi cha Azam FC kwenye mchezo wa jana Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC SINGIDA UNITED KATIKA PICHA JANA DODOMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top