• HABARI MPYA

    Monday, October 23, 2017

    WACHEZAJI FENERBAHCE WALIVYOMUOKOA REFA NA KIPIGO CHA MASHABIKI

    Wachezaji wa Fenerbahce wakimuokoa refa wa pembeni, Tark Ongun aliyekuwa akishambuliwa kwa chupa, makopo na vitu vingine na mashabiki wa Galatasaray katika mchezo wa mahasimu wa Jiji wa la Istanbul uliomalizika kwa sare ya 0-0 usiku wa jana Uwanja wa Turk Telekom mjini İstanbul, Uturuki. Vurugu hizo zilitokea dakika ya 73, baada ya winga wa wenyeji, Younes Belhanda kuonyeshwa kadi ya pili ya njano kwa kujirusha na kutolewa kwa kadi nyekundu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WACHEZAJI FENERBAHCE WALIVYOMUOKOA REFA NA KIPIGO CHA MASHABIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top