• HABARI MPYA

  Monday, October 23, 2017

  REAL MADRID YAITANDIKA EIBAR 3-0 BERNABEU KATIKA LA LIGA

  Marcelo akinyoosha kidole juu kushangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la tatu dakika ya 82 ikiilaza 3-0 Eibar usiku wa jana kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid, Hispania. Mabao mengine ya Real, Paulo Oliveira alijifunga dakika ya 18 na lingine alifunga Marco Asensio dakika ya 28 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID YAITANDIKA EIBAR 3-0 BERNABEU KATIKA LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top