Beki wa Brazil, Dani Alvez akipiga mpira kichwa mbele ya mshambuliaji wa Chile, Alexis Sanchez katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kwa Amerika Kusini Alfajiri ya leo Uwanja wa Allianz Parque mjini Sao Paulo. Brazil imeshinda 3-0 mabao ya Paulinho dakika ya 55 na Gabriel Jesus mawili dakika za 57 na 90 na ushei. Brazil imekwishafuzu kabla ya mechi ya jana na kwa kipigo hicho Chile inakosa nafasi ya kwenda Urusi mwakani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
JMU at Oregon score, live updates: Follow College Football Playoff
first-round action
-
Can James Madison make it more than one-and-done as the biggest underdog of
the first round?
17 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment