• HABARI MPYA

    Saturday, August 05, 2017

    SIMBA WALIVYOWSILI DAR LEO KUTOKA AFRIKA KUSINI

    Kiungo Mghana wa Simba, James Kotei (kulia) akizungumza na Kaimu Makamu Mwenyekiti, Iddi Kajuna leo mchana Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) baada ya kuwasili wakitokea Afrika Kusini walipokuwa wameweka kambi ya wiki mbili kujiandaa na msimu mpya
    Kocha Mkuu, Mcameroon Joseph Omog (kushoto) na Msaidizi wake, Jackson Mayanja (kulia) wakiwasili
    Kiungo mkongwe, Mwinyi Kazimoto akiwaongoza wenzake baada ya kuwasili
    Beki mpya, Yussuf Mlipili aliyesajiliwa kutoka Toto Africans akitoka na mzigo 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA WALIVYOWSILI DAR LEO KUTOKA AFRIKA KUSINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top