• HABARI MPYA

  Wednesday, August 09, 2017

  MOURINHO ALIVYOREJEA AMEKASIRIKA KWA KIPIGO CHA JANA

  Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho akiwasili Uwanja wa Ndege wa Manchester, England na wasaidizi wake kutoka Macedonia, ambako jana walifungwa mabao 2-1 na Real Madrid katika mchezo wa Super Cup ya UEFA mjini Skopje. Mourinho sasa anakwenda kuwaandaa vijana wake kwa ajili ya mchezo wa Jumapili dhidi ya West Ham Jumapili Uwanja wa Old Trafford PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MOURINHO ALIVYOREJEA AMEKASIRIKA KWA KIPIGO CHA JANA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top