• HABARI MPYA

  Tuesday, August 08, 2017

  MESSI, SUAREZ WOTE WAFUNGA BARCA YASHINDA 5-0 CAMP NOU

  Kipa wa Chapecoense ya Brazil, Elias Martello akidaka mpira dhidi ya mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi anayelighasiwa pia na mabeki wa timu hiyo katika mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Barca ilishinda 5-0, mabao ya Gerard Deulofeu dakika ya sita, Sergio Busquets dakika ya 11, Messi dakika ya 28, Luis Suarez dakika ya 55 na Denis Suarez dakika ya 74 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI, SUAREZ WOTE WAFUNGA BARCA YASHINDA 5-0 CAMP NOU Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top