• HABARI MPYA

  Saturday, July 01, 2017

  MAN UNITED 'YAWAKOKOMEKA' 3-1 BARCELONA CAMP NOU

  Ronaldinho Gaucho akifumua shuti katikati ya wachezaji wa Manchester United jana Uwanja wa Nou Camp katika mchezo wa kirafiki baina ya magwiji wa timu hizo. Magwiji wa United walishinda 3-1, ingawa wa Barcelona walicheza mpira wa kusisimua hususan Ronaldinho na Rivaldo. Mabao ya Man United yalifungwa na Jesper Blomqvist dakika ya 14, Karel Poborsky dakika ya 57 na Dwight Yorke wakati la Barcelona lilifungwa na Frederic Dehu dakika za mwishoni na mchezo wa marudiano utafanyika Uwanja wa Old Trafford Septemba 2 GONGA HAPA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED 'YAWAKOKOMEKA' 3-1 BARCELONA CAMP NOU Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top