• HABARI MPYA

    Friday, June 02, 2017

    TUSKER FC WAWASILI DAR TAYARI KUKINUKISHA SPORTPESA SUPER CUP

    Wachezaji wa timu ya Tusker FC ya Kenya wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) mjini Dar es Salaam leo, tayari kushirki michuano ya SportPesa Super Cup inayotarajiwa kuanza Juni 5 mwaka huu Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam ikishrikisha timu nane, nne za Tanzania na nne za Kenya

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TUSKER FC WAWASILI DAR TAYARI KUKINUKISHA SPORTPESA SUPER CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top