• HABARI MPYA

    Friday, June 16, 2017

    TSHABALALA MCHEZAJI BORA WA MSIMU SIMBA SC

    Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Dioniz Malinzi (katikati) akimkabidhi beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu wa klabu usiku wa leo hoteli ya Serena, Dar es Salaaam baada ya futari ya pamoja iliyoandaliwa na uongozi wa klabu. Kulia ni Rais wa Simba, Evans Aveva
    Malinzi amempa Tshabalala Sh. Milioni 1 kwa ushindi huo, wakati Sh. 500,000 amempa Moses Kitundu kwa kuwa tuzo mchezaji bora wa timu ya vijana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TSHABALALA MCHEZAJI BORA WA MSIMU SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top