• HABARI MPYA

    Saturday, June 03, 2017

    SEMINA ELEKEZI KWA WAANDISHI WA HABARI KUELEKEA SPORTPESA SUPER CUP

    Mratibu wa mashindano ya SportPesa Super Cup yanayotarajiwa kuanza Juni 5, Dar es Salaam, Teddy Mapunda akitoa semina elekezi kwa Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali nchini kuelekea michuano hiyo inayofanyika kwa mara ya kwanza nchini ikishirikisha na timu za Kenya pia
    Teddy Mapunda alikuwa akielezea namna mashindano hayo yatakavyokuwa
    Mtangazaji wa Redio Clouds, Shaffih Dauda akisikiliza kwa makini somo la Teddy Mapunda
    Mwandishi mkongwe, Majuto Omary (katikati) akiuliza swali katika semina hiyo
    Mtendaji Mkuu wa Bin Zubeiry Sports - Online, Mahmoud Zubeiry (kulia) alikuwepo pia 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SEMINA ELEKEZI KWA WAANDISHI WA HABARI KUELEKEA SPORTPESA SUPER CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top