• HABARI MPYA

  Sunday, June 18, 2017

  SANCHEZ ATOKEA BENCHI NA KUWATEKETEZA CAMEROON KOMBE LA MABARA

  Alexis Sanchez (kulia) akimkimbilia Arturo Vidal kumpongeza baada ya kuifungia Chile bao la kwanza dakika ya 81 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Cameroon kwenye mchezo wa Kundi B Kombe la Mabara usiku huu Uwanja wa Otkrytiye Arena mjini Moscow, Urusi. Sanchez ndiye aliyetoa krosi ya bao hilo na akaseti na la pili pia lililofungwa na Eduardo Vargas dakika ya 90 na ushei baada ya kutokea benchi dakika ya 58 kuchukua nafasi ya Edson Puch PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SANCHEZ ATOKEA BENCHI NA KUWATEKETEZA CAMEROON KOMBE LA MABARA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top