• HABARI MPYA

  Sunday, June 18, 2017

  URENO YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA MEXICO KOMBE LA MABARA

  Ricardo Quaresma akishangilia na Cristiano Ronaldo aliyemsetia nafasi ya kuifungia Ureno bao la kwanza dakika ya 34 katika sare ya 2-2 na Mexico kwenye mchezo wa Kundi B Kombe la Mabara usiku huu Uwanja wa Kazan Arena mjini Kazan, Urusi. Bao la pili la Ureno lilifungwa na Cedric Soares dakika ya 86, wakati mabao ya Mexico yamefungwa na Javier Hernandez 'Chicharito' dakika ya 42 na Hector Moreno dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: URENO YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA MEXICO KOMBE LA MABARA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top