• HABARI MPYA

  Saturday, June 03, 2017

  RIO FERDINAND ALIPOKUTANA TENA NA RONALDO

  Beki wa zamani wa Manchester United, Rio Ferdinand (kushoto) akiwa na mchezaji mwenzake wa zamani wa Mashetani hao Wekundu, Cristiano Ronaldo ambaye kwa sasa anachezea Real Madrid ya Hispania. Wawili hao wamekutana mjini Cardiff, Wales leo ambako usiku wa leo, Real Madrid itamenyana na Juventus katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RIO FERDINAND ALIPOKUTANA TENA NA RONALDO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top