• HABARI MPYA

  Saturday, June 03, 2017

  GIROUD APIGA HAT TRICK UFARANSA IKIICHAPA PARAGUAY 5-0

  Olivier Giroud wa Ufaransa akishangilia baada ya kufunga mabao matatu peke yake dakika za sita, 13 na 69 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Paraguay kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku wa jana Uwanja wa Roazhon Park mjini Rennes, Ufaransa. Mabao mengine ya Ufaransa yamefungwa na Moussa Sissoko dakika ya 76 na Antoine Griezmann dakika ya 77 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GIROUD APIGA HAT TRICK UFARANSA IKIICHAPA PARAGUAY 5-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top