• HABARI MPYA

  Friday, June 16, 2017

  MAMA SAMIA MGENI RASMI EVERTON NA GOR MAHIA TAIFA

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan (kulia) akiwa katika kikao na viongozi wa kampuni ya SportPesa Tanzania jana ofisini kwake, Dar es Salaam. Mama Samia amekubali ombi la viongozi hao wa SportPesa kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa kirafiki kati ya Everton ya England na Gor Mahia ya Kenya, iliyotwaa kombe la michuano ya SportPesa iliyomalizika hivi karibuni Dar es Salaam. Mchezo huo utafanyika Julai 13, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAMA SAMIA MGENI RASMI EVERTON NA GOR MAHIA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top