• HABARI MPYA

    Friday, June 02, 2017

    LYON WAIPIGA PSG NA KUBEBA TENA UBINGWA ULAYA

    Wachezaji wa Lyon wakishangilia na taji lao la Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa wanawake baada ya kuwafunga Paris Saint-Germain kwa penalti 7-6 kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika 120 kwenye fainali usiku wa jana Uwanja wa Cardiff City nchini Wales na kufanikiwa kutetea Kombe lao waliolitwaa pia mwaka jana PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LYON WAIPIGA PSG NA KUBEBA TENA UBINGWA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top