• HABARI MPYA

  Friday, April 14, 2017

  RONALDO AKABIDHIWA JEZI YA KUMBUKUMBU YA KUFIKISHA MABAO 100 ULAYA

  Rais wa Real Madrid, Florentino Perez (kushoto) akimkabidhi Cristiano Ronaldo jezi ya kumbukumbu ya kufikisha mabao 100 kwenye michuano ya Ulaya jana baada ya juzi kufunga mabao mawili katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji Bayern Munich kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabigwa Uwanja wa Allianz Arena, Munich PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AKABIDHIWA JEZI YA KUMBUKUMBU YA KUFIKISHA MABAO 100 ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top