Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Sunday, April 09, 2017

  NEYMAR ALIMWA KADI NYEKUNDU, BARCA YATANDIKWA 2-0 MALAGA

  Nyota wa Barcelona, Mbrazil Neymar akitolewa kwa kadi nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano dakika ya 65 timu yake ikifungwa 2-0 na wenyeji, Malaga katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumamosi Uwanja wa La Rosaleda mjini Malaga. Mabao ya wenyeji yamefungwa na Sandro Ramirez dakika ya 32 na Jony dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: NEYMAR ALIMWA KADI NYEKUNDU, BARCA YATANDIKWA 2-0 MALAGA Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top