• HABARI MPYA

  Wednesday, April 19, 2017

  KABURU NA ZAMUNDA WALIKUWA WANAYASUKA YAPI HAPA?

  Makamu wa Rais wa Simba, Geoffrey Nyange 'Kaburu' (kulia) akiwa na Mmiliki wa klabu ya African Lyon, Rahim Kangenzi 'Zamunda' (kushoto) jana hoteli ya Protea, Masaki, Dar es Salaam wakati wa kikao cha Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) juu ya sakata la beki Mohammed Fakhi kuichezea Kagera Sugar dhidi ya Wekundu wa Msimbazi Aprili 2, mwaka huu akiwa ana kadi tatu za njano. 
  Kaburu pia alikutana na kiongozi wa klabu ya Yanga, Mussa Katabaro jana
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KABURU NA ZAMUNDA WALIKUWA WANAYASUKA YAPI HAPA? Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top