Mousa Dembele (katikati) akikimbia na wachezaji wenzake kushangilia baada ya kuifungia Tottenham Hotspur bao la kwanza dakika ya 16 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Bournemouth kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa White Hart Lane, London. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Son Heung-min dakika ya 19, Harry Kane dakika ya 48 na Vincent Janssen dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
China says it rescued Philippine crew from cargo ship near Scarborough Shoal
-
BEIJING, Jan 23 (Reuters) - The Chinese Coast Guard said on Friday it
dispatched two vessels to rescue 21 Philippine crew members in a foreign
cargo ship t...
6 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment