• HABARI MPYA

  Saturday, April 08, 2017

  BALOTELLI AIFUNGIA MABAO MAWILI NICE IKIICHAPA 2-1 LILLE

  Mario Balotelli akishangilia baada ya kufunga mabao yote mawili katika ushindi wa 2-1 wa Nice dhidi ya wenyeji Lille kwenye mchezo wa Ligue 1 jana, Ufaransa. Bao la wenyeji lilifungwa na Ibrahim Amadou na Balotelli sasa anafikisha mabao 13 msimu huu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BALOTELLI AIFUNGIA MABAO MAWILI NICE IKIICHAPA 2-1 LILLE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top