• HABARI MPYA

  Wednesday, April 12, 2017

  AIRTEL YAIPIGA JEKI KILIMANJARO QUEENS, AMINA KALUMA MENO YOTE 32 NJE

  Ofisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde (kushoto), akikabidhi vifaa vya michezo kwa Mwenyekiti wa Soka la Wanawake Tanzania, Amina Kaluma mjini Dar es Salaam jana, kwa ajili ya kusadia timu ya taifa ya wanawake ya Kilimanjaro Queens, ili kuiwezesha timu hiyo kufanya vizuri katika michuano mbalimbali ndani na nje ya nchini. Kulia ni Kocha Mkuu wa timu hiyo, Sebastian Nkomwa na Nahodha, Sophia Mwasikili.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AIRTEL YAIPIGA JEKI KILIMANJARO QUEENS, AMINA KALUMA MENO YOTE 32 NJE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top