• HABARI MPYA

  Sunday, September 18, 2016

  ZIJE TIMU ZOTE MWANZA, LAKINI PAMBA ITABAKI KUWA YA KIHISTORIA

  Kikosi cha timu tishio ya Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara (sasa Ligi Kuu) Pamba FC ya Mwanza kikiwa Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza mwaka 1992. Kutoka kushoto waliosimama ni Madata Lubigisa, Ibrahim Magongo, Fumo Felician, David Mwakalebela, Rajab Risasi, Makwa Selemani, Beya Simba, Ali Bushiri, Hussein Marsha na Paul Rwechungula. Waliopiga magoti Hamza Mponda, Juma Amir, Rashid Abdallah, George Masatu, Abdallah Bori, Msonga Rashid na Khalfan Ngassa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ZIJE TIMU ZOTE MWANZA, LAKINI PAMBA ITABAKI KUWA YA KIHISTORIA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top