• HABARI MPYA

    Sunday, September 18, 2016

    YANGA NA MWADUI KATIKA PICHA JANA KAMBARAGE

    Beki wa Mwadui FC, Joram Mgeveke akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Ngoma katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Kambarage, Shinyanga. Yanga ilishinda 2-0
    Mgeveke akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji mwingine wa Yanga, Amissi Tambwe
    Amissi Tambwe (katikati) akiifungia Yanga bao la kwanza. Bao la pili lilifungwa na Ngoma
    Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Mwadui FC
     Kikosi cha Yanga jana Uwanja wa Kambarage
    Kikosi cha Mwadui FC kabla ya mchezo na Yanga jana Uwanja wa Kambarage
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA MWADUI KATIKA PICHA JANA KAMBARAGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top