Kiungo wa Yanga, Thabani Kamusoko (kulia) akiwarunga tela wachezaji wa Maji Maji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 3-0
Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akimtoka beki wa Maji Maji, Ernest Raphael
Beki wa Maji Maji, Hamad Kibopile akibutua mpira mbele ya winga wa Yanga, Simon Msuva
Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akivuta kasi kupiga shuti mbele ya beki wa Maji Maji, Ernest Raphael
Kiungo wa Yanga, Juma Mahadhi (kulia) akimtoka kiungo wa Maji Maji, Hassan Hamisi
Beki wa Yanga, Mwinyi Hajji Mngwali (kulia) akiambaa na mpira pembeni ya beki wa Maji Maji
0 comments:
Post a Comment