• HABARI MPYA

  Saturday, September 17, 2016

  TSHABALALA ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA AGOSTI SIMBA SC

  Mkurugenzi wa kampuni ya AIG, Imani Kajula (kushoto) akimkabidhi tuzo ya Mchezaji Bora wa Agosti beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' (kulia) kabla ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo dhidi ya Azam FC. Anayeshuhudia katikati ni Makamu wa Rais wa Simba ambayo imeshinda 1-0, Geoffrey Nyange 'Kaburu'
  Tshabalala akiondoka na tuzo ya Mchezaji Bora leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TSHABALALA ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA AGOSTI SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top