Winga wa Simba, Shizza Kichuya akipiga saluti mbele ya mashabiki wa Simba kushangilia bao lake alilofunga pekee alilofunga jana katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam FC Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam
Kichuya akiwa amebebwa na mshambuliaji Mrundi, Laudit Mavugo kushangilia bao hilo
Kichuya akiwa amezongwa na wachezaji wenzake kushangilia bao hilo






.png)
0 comments:
Post a Comment