• HABARI MPYA

    Monday, September 12, 2016

    SIMBA SC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Mshambuliaji wa Simba SC, Frederic Blagnon raia wa Ivory Coast (kulia) akijivuta kupiga shuti mbele ya walinzi wa Mtibwa Sugar, Shaaban Nditi (katikati) na Salim Mbonde (kushoto) katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Simba SC ilishinda 2-0
    Kiungo wa Simba, Jamal Mnyate akimiliki mpira jana Uwanja wa Uhuru
    Mnyate katikati ya wachezaji wa Mtibwa Sugar jana Shamba la Bibi
    Kikosi cha Simba SC kilichoanza katika mchezo wa jana
    Mfungaji wa bao la kwanza la Simba jana, Ibrahim Hajib akiubusu mpira huku akifuatwa na mshambuliaji mwenzake wa Wekundu hao wa Msimbazu, Laudit Mavugo
    Hii ni dua kabla ya mcheo kuomboleza maafa ya tetemeko la ardhi Bukoba mkoani juzi na jana 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top