• HABARI MPYA

  Monday, September 12, 2016

  BALOTELLI AANZA VYEMA UFARANSA, APIGA MBILI NICE YAWANYUKA 3-2 MARSEILLE

  Mario Balotelli ameanza vizuri katika klabu yake mpya, Nice baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Marseille, moja la penalti kwenye mchezo wa Ligue 1 Ufaransa Uwanja wa Allianz Riviera. Bao lingine la Nice lilifungwa na Wylan Cyprien wakati mabao ya Marseille yalifungwa na Florian Thauvin na Bafetimbi Gomis kwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BALOTELLI AANZA VYEMA UFARANSA, APIGA MBILI NICE YAWANYUKA 3-2 MARSEILLE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top