• HABARI MPYA

  Saturday, September 10, 2016

  LIVERPOOL YAWAFUMUA 4-1 MABINGWA LEICESTER CITY

  Adam Lallana akifurahia na Sadio Mane (Namba 19) mgongoni baada ya wote kufunga katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Leicester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Mabao mengine ya Liverpool yalifungwa na Roberto Firmino mawili, wakati la Leicester lilifungwa na Jamie Vardy  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAWAFUMUA 4-1 MABINGWA LEICESTER CITY Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top