Winga wa Simba SC, Shizza Ramadhani Kichuya akimtoka beki wa Azam FC, Mzimbabwe Bruce Kangwa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Simba ilishinda 1-0 bao pekee la Kichuya
Beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akimiliki mpifra mbele ya winga Muivory Coast wa Azam FC, Ya Thomas Renardo
Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' (kulia) akimiliki mpira pembeni ya kiungo wa Simba, Jonas Mkude
Beki wa Azam FC, Shomary Kapombe akimtoka kiungo wa Simba, Jamal Mnyate
Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Hajib (katikati) akimtoka kiungo wa Azam FC, Himid Mao Mkami (kushoto)
Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Hajib akienda chini baada ya kukwatuliwa na winga wa Azam FC, Ya Thomas Renardo
Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa Simba, Novaty Lufunga na Mohamed Hussein 'Tshabalala'
Wazimbabwe; Beki Method Mwanjali wa Simba akimtoka Bruce Kangwa wa Azam FC
Shizza Kichuya akimtoka kiungo wa Azam FC, Frank Domayo
Vikosi vya timu zote mbili vikiingia uwanjani kwa ajili ya mchezo wa jana
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment