• HABARI MPYA

    Wednesday, May 11, 2016

    SIMBA SC WALIPOTINGA NA DALADALA LEO UWANJA WA MAJIMAJI

    Basi lililowabeba wachezaji wa Simba SC likiwasili Uwanja wa Majimaji mjini Songea leo kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji Majimaji jioni ya leo. Timu hizo zilitoka sare ya 0-0
    Kiungo wa Simba SC, Peter Mwalyanzi akiteremka kwenye daladala hilo 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC WALIPOTINGA NA DALADALA LEO UWANJA WA MAJIMAJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top