• HABARI MPYA

    Monday, May 09, 2016

    SIMBA NA MWADUI FC KATIKA PICHA JANA

    Winga wa Simba SC, Brian Majwega akimtoka kiungo wa Mwadui FC, Razack Khalfan katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Mwadui ilishinda 1-0
    Beki wa Mwadui FC, Abdallah Mfuko akigeuka na mpira pembeni ya kiungo wa Simba, Said Ndemla jana
    Kiungo wa Simba, Mwinyi Kazimoto akipiga mpira dhidi ya wachezaji wa Mwadui FC jana
    Kiungo wa Simba, Said Ndemla akimtoka kiungo wa Mwadui FC na mfungaji wa bao pekee la jana, Jamal Mnyate
    Beki wa Simba, Emery Nimubona akiwahi mpira mbele ya beki wa Mwadui FC, David Luhende
    Mshambuliaji wa Simba, Hamisi Kiiza akipambana katikati ya wachezaji wa Mwadui FC, Abdallah Mfuko (kulia) na Hassan Kabunda (kushoto) 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA NA MWADUI FC KATIKA PICHA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top