• HABARI MPYA

  Sunday, May 08, 2016

  RONALDO AFUNGA MAWILI REAL MADRID IKISHINDA 3-2 LA LIGA

  Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza kati ya mawili (dakika za 26 na 59) katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Valencia jioni ya leo Uwanja wa Santiago Bernabeu kwenye mchezo wa La Liga. Bao lingine la Real limefungwa na Karim Benzema dakika ya 42, wakati ya Valencia yamefungwa na Rodrigo dakika ya 55 na Andre Gomes dakika ya 81  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA MAWILI REAL MADRID IKISHINDA 3-2 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top