• HABARI MPYA

  Wednesday, May 04, 2016

  DILI LA NMB KWA MASHABIKI WA AZAM FC


  Dhihirisha kwamba wewe ni shabiki wa kweli wa Azam FC na unaweza kupata nafasi ya kukutana na kikosi kizima cha Azam FC ikiwa ni pamoja na kutembelea uwanja wa Azam Complex, Chamazi. 

  Kushiriki fuata hatua zifuatazo.
  1. Like/Follow ukurasa wa NMB Tanzania katika mitandao ya Facebook, Twitter au Instagram.
  2. Piga picha au chukua video ikionesha jinsi gani wewe ni shabiki wa kweli. (Picha au video ukiwa umevaa jezi au uko uwanjani ukishangilia timu yako ya Azam FC au chochote kinachoonesha wewe ni shabiki wa kweli)
  3. Post picha au video hiyo kwenye akaunti yako ya Facebook, Instagram au Twitter ukitumia hashtag #ShabikiWaKweli.
  4. Washirikishe marafiki ili wakupigie kura. Facebook na Instagram ni “Likes”, kwa upande wa Twitter ni “Retweets”
  5. Mashabiki 10 ambao watapata "Likes/Retweets" nyingi zaidi watapata fursa pekee ya kukutana na kikosi kizima cha Azam FC
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DILI LA NMB KWA MASHABIKI WA AZAM FC Rating: 5 Reviewed By: AIMGROUP Media

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top