• HABARI MPYA

    Sunday, May 08, 2016

    BARCELONA YAWATANDIKA ESPANYOL 5-0 LA LIGA

    Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez (katikati) akimpongeza mchezaji mwenzake, Lionel Messi (kulia) baada ya Muargentina huyo kuifungia timu yake bao la kwanza dakika ya nane katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Espanyol kwenye mchezo wa La Liga. Kushoto ni Dani Alves na mabao mengine ya Barca yamefungwa na Suarez dakika ya 52 na 61, Rafinha dakika ya 74 na Neymar dakika ya 83  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BARCELONA YAWATANDIKA ESPANYOL 5-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top