• HABARI MPYA

  Sunday, May 01, 2016

  REFA AWANYIMA PENALTI LEICESTER WATOA SARE 1-1 NA MAN UNITED

  Beki wa Manchester United, Marcos Rojo akimzuia kwenda kufunga mshambuliaji wa Leicester City, Riyad Mahrez aliyeanguka chini ingawa refa hakutoa penalti katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Old Trafford. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1 wenyeji Man United wakitangulia kwa bao la Anthony Martial dakika ya nane kabla ya Wes Morgan kuisawazishia Leicester dakika ya 17  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REFA AWANYIMA PENALTI LEICESTER WATOA SARE 1-1 NA MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top