• HABARI MPYA

    Wednesday, May 11, 2016

    MBABE WA IRAN AWASILI KUMVAA MASHALI JUMAMOSI TAIFA

    Bondia  Sajjad Mehrab wa Iran (kulia) akiwa na kocha wake Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam baaa ya kuwasili nchini kwa ajili ya pambano dhdidi ya mwenyeji wake, Thomas Mashali Mei 14, mwaka huu Uwanja wa ndani wa Taifa  
    Sajjad Mehrab akiwa na kocha wake na Rais wa Shirikisho la Ngumi za Kulipwa Tanzania (PST), Emmanuel Mlundwa (katikati)
    Sajjad Mehrab akizungumza na vyombo mbalimbali vya habari nchini JNIA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MBABE WA IRAN AWASILI KUMVAA MASHALI JUMAMOSI TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top