• HABARI MPYA

  Sunday, May 22, 2016

  HAYE ACHAPA MTU 'KAMA MWIZI' NA KUSHINDA KWA KO RAUNDI YA PILI

  Bondia Arnold Gjergjaj akipepesuka kuelekea chini baada ya kupigwa ngumi mfululizo na mpinzani wake David Haye katika pambano la uzito wa juu usiku wa jana ukumbi wa O2 mjini London, Uingereza. Haye alishinda kwa Knockout (KO) raundi ya pili akimuangusha mara nne mpinzani wake huyo na sasa anaweza kurudi tena ulingoni Septemba kuzipiga na Mmarekani Shannon Briggs ambaye pia alishinda pambano lake usiku wa jana PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAYE ACHAPA MTU 'KAMA MWIZI' NA KUSHINDA KWA KO RAUNDI YA PILI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top