• HABARI MPYA

  Sunday, May 22, 2016

  HIVI NDIVYO PEP GUARDIOLA ALIVYOWAAGA BAYERN MUNICH

  Kocha Pep Guardiola akijifuta machozi baada ya timu yake kushinda Kombe la Ujerumani kwa ushindi wa penalti 4-3 baada ya sare ya 0-0 dhidi ya Borussia Dortmund usiku wa jana Uwanja wa Olimpiki mjini Berlin, Ujerumani. Guardiola anaondoka Bayern Munich anahamia Manchester City ya England baada ya kumaliza msimu jana na mchezo huo ulikuwa wa mwisho kwake kuiongoza timu hiyo  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HIVI NDIVYO PEP GUARDIOLA ALIVYOWAAGA BAYERN MUNICH Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top