• HABARI MPYA

  Sunday, April 10, 2016

  VARDY APIGA ZOTE MBILI, LEICESTER CITY IKIPAA ZAIDI ENGLAND

  Mshambuliaji wa Leicester City, Jamie Vardy akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza dakika ya 55 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Sunderland kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Light. Vardy alifunga bao la pili pia dakika ya 90 na ushei. Leicester inafikisha pointi 72 kileleni mwa Ligi Kuu baada ya kucheza mechi 33, ikifuatiwa na Tottenham Hotspur yenye pointi 62 za mechi 32 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: VARDY APIGA ZOTE MBILI, LEICESTER CITY IKIPAA ZAIDI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top