• HABARI MPYA

    Sunday, April 10, 2016

    HUYU AKITABIRI JUA, BEBA MWAMVULI!

    Shabiki wa Simba akiwa ameshika bango dogo la kutabiri matokeo ya Yanga kufungwa 3-0 jana na Al Ahly katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Hata hivyo timu hizo zilitoka sare ya 1-1

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HUYU AKITABIRI JUA, BEBA MWAMVULI! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top