• HABARI MPYA

  Monday, April 11, 2016

  UKISIKIA MATESO BILA CHUKI, NDIYO HAYA SASA!

  Wachezaji wa Yanga wakiwa wamedondokea nyavuni katika harakati za kuokoa mpira wa Amr Galam (kushoto) ulioipatia bao la kuongoza Al Ahly ya Misri katika sare ya 1-1 juzi kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UKISIKIA MATESO BILA CHUKI, NDIYO HAYA SASA! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top